Use APKPure App
Get Sala na Maombi old version APK for Android
Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho
Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.
Aplikacja hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.
2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.
3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.
4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:-
✔Uponyaji
✔Zakończ
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika
5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.
Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:-
✔Nyimbo za Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo za Wokovu
✔Nyimbo w Ibadzie
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo za Kristo
✔Nyimbo za Imani Yetu
✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali
APLIKACJA VIPENGELE MUHIMU KATIKA HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Wiza do Biblii
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibadą
7. Mafundisho ya Biblia
UWAGA: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
Last updated on Nov 22, 2024
Maombi na Sala
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri
Przesłane przez
Ahmed Maher
Wymaga Androida
Android 5.0+
Kategoria
Raport
Sala na Maombi
ya Kweli9.8 by Sachatech Ltd
Nov 22, 2024