Usar la aplicación APKPure
Obtener Sala na Maombi versión histórica en Android
Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho
Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia Aplicación hola.
Aplicación hola inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vil:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.
2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.
3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.
4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vil: -
✔Uponyaji
✔Upendo
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika
5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.
Mbali na hayo yote Aplicación hii inakupatia / itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vil: -
✔Nyimbo za Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo za Wokovu
✔Nyimbo za Ibada
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo za Kristo
✔Nyimbo za Imani Yetu
✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali
APLICACIÓN VIPENGELE MUHIMU KATIKA HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Visa vya Biblia
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibada
7. Mafundisho ya Biblia
NOTA: Aplicación hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hola na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
Last updated on 22/11/2024
Maombi na Sala
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri
Presentado por
Ahmed Maher
Requisitos
Android 5.0+
Categoría
Reportar
Sala na Maombi
ya Kweli9.8 by Sachatech Ltd
22/11/2024