We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

À propos de Sala na Maombi

Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho

Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.

App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo ;

1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vil :-

✔Ndoa/Mahusiano

✔Kazi

✔Msamaha

✔Masuala ya kifedha

✔Uponyaji

✔Nguvu za giza na mengine mengi.

2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.

3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.

4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vil : -

✔Uponyaji

✔Upendo

✔Msamaha

✔Ufufuo

✔Ndoa/Mahusiano

✔Imani Nakadhalika

5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.

Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vil : -

✔Nyimbo za Injili

✔Tenzi za Rohoni

✔Nyimbo za Wokovu

✔Nyimbo za Ibada

✔Mwimbieni Bwana

✔Nyimbo za Kristo

✔Nyimbo za Imani Yetu

✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali

VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII ;

1. Sala na Maombi

2. Ibada Kila Siku

3. Visa via Biblia

4. Gunduzi Muhimu

5. Unabii

6. Nyimbo za Ibada

7. Mafundisho ya Biblia

REMARQUE : App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.

Quoi de neuf dans la dernière version 9.8

Last updated on Nov 22, 2024

Maombi na Sala
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri

Chargement de la traduction...

Informations Application supplémentaires

Dernière version

Demande Sala na Maombi mise à jour 9.8

Telechargé par

Ahmed Maher

Nécessite Android

Android 5.0+

Available on

Télécharger Sala na Maombi sur Google Play

Voir plus

Sala na Maombi Captures d'écran

Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Abonné avec succès!
Vous êtes maintenant souscrit à APKPure.
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Succès!
Vous êtes maintenant souscrit à notre newsletter.