Kuza Business


1.0.0 بواسطة Swahilies
21/04/2025 الإصدارات القديمة

Kuza Businessحول

يساعدك Kuza Business على إدارة وتتبع أعمالك اليومية

Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama Bidhaa، Mauzo، madeni na matumizi.

Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo ؛

- Kurekodi bidhaa zako yani Stock

- Kurekodi Mauzo Yako

- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa

- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako

- Kurekodi wateja wako

- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka

- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai، wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.

كاريبو كوزا بيزنس Uweze Kukuza Biashara Yako

كوزا بيزنس هو تطبيق جوال لمسك الدفاتر للشركات لتسجيل وتخزين بيانات وتفاصيل أعمالهم مثل المبيعات والإنفاق والديون وإدارة المخزون. يسهل Kuza Business على الشركات تنمية أعمالها من خلال اتخاذ قرارات مستنيرة من بيانات الأعمال الخاصة بهم

معلومات أكثر ل تطبيق

احدث اصدار

1.0.0

محمل

Muhammad Rizki

Android متطلبات النظام

Android 5.0+

Available on

الإبلاغ

تحديد كغير مناسب

عرض المزيد

Use APKPure App

Get Kuza Business old version APK for Android

تحميل

Use APKPure App

Get Kuza Business old version APK for Android

تحميل

Kuza Business البديل

احصل على المزيد Swahilies

الاكتشاف