We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

عن Momoa

Endesha biashara yako ya uwakala kidigitali.

تطبيق Momoa ni inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi، sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.

تطبيق Kupitia يا موموا:

💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)

💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)

💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)

👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu

🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi، na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.

⏮ Wakala anaweza kuangalia historyia au ripoti ya nyuma ya miamala yote، hesabu alivoanza na alivofunga siku.

✍️ وكالة أناوزا كيديت تطفو على النقد. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.

∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo، na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.

💙 Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi، rahisi na haraka.

كاريبو موموا. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255682411725 (Call or whatsapp)

تحديث لأحدث إصدار 1.4.7

Last updated on 27/09/2024

Now you can delete a transaction and select customer on new transaction

جاري في الترجمة...

معلومات أكثر ل تطبيق

احدث اصدار

طلب Momoa تحديث 1.4.7

محمل

Ady Adrian

Android متطلبات النظام

Android 6.0+

Available on

الحصول على Momoa من Google Play

عرض المزيد

Momoa لقطات الشاشة

اشترك في APKPure
كن أول من يحصل على الإصدارات السابقة والأخبار والأدلة لأفضل ألعاب وتطبيقات الأندرويد.
ًلا، شكرا
اشتراك
تم الاشتراك بنجاح!
أنت مشترك الآن في APKPure.
اشترك في APKPure
كن أول من يحصل على الإصدارات السابقة والأخبار والأدلة لأفضل ألعاب وتطبيقات الأندرويد.
ًلا، شكرا
اشتراك
نجاح!
لقد اشتركت في أخبار لدينا الآن لدينا.