下載 APKPure App
可在安卓獲取Soka Letu App的歷史版本
Pata habari zote kuhusu Soka la Tanzania na Dunia kwa ujumla kupitia App。
App ya Soka Letu inakuunganisha na habari motomoto kuhusu Ligi Kuu Tanzania na soka la ulaya kwa ujumla。
Kupitia App hiu utakuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kedekede kuhusu mpira wa miguu,Afrika na Dunia kwa Ujumla
Bila kusahau,tazama live mahojiano na matukio ya kimichezo kupitia channeli pendwa za michezo nchini。
Last updated on 2021年01月27日
Sasa Kupitia Soka Letu App, utaweza kutazama video mbalimbali za kimichezo kutoka channeli zote maarufu, bila kusahau Azam TV, na Channel ya Simba TV na Yanga TV buree.
Soka Letu App
1.0 by Utamu
2021年01月27日