下載 APKPure App
可在安卓獲取RFI Kiswahili的歷史版本
官方新聞應用程式RFI斯瓦希里語
App rasmi ya kupata Habari kutoka RFI Kiswahili, inatoa fursa ya kufahamu Mukhtasari wa Habari na vipindi mbalimbali. Unaweza kuvisikiliza vipindi mbalimbali bila malipo kupitia mfumo wa audio player au kupiga simu kwa namba maalum (Unaweza kutozwa fedha, jiridhishe na mtandao wako wa simu).
Pakua BILA MALIPO app hii sasa hivi ili kusikiliza Habari za Kimataifa kutoka RFI Kiswahili.
- MATANGAZO ya moja kwa moja kuhusu ripoti za RFI Kiswahili.
- Mfumo huu unakuwezesha kusikiliza Habari mbalimbali kwa muda uutakao.
- Mfumo wa sauti, unaokuwezesha kupiga simu
- Uchaguzi wa Bandwidth unakuwezesha kuokoa gharama za data
- Kuwasiliana kwa ujumbe mfupi kwa muda wa saa 24 kila wiki.
RFI ni Redio ya Kimataifa inayotangaza kote duniani na kukuletea matukio yanayotokea mara kwa mara na inapatikana kupitia (Tovuti, application za simu n.k). lkiwa na kikosi cha watalaam ambao ni Wanahabari na Wahariri jijini Paris, inategemea pia maripota kote duniani kufanikisha matangazo ya moja kwa moja, Taarifa za Habari na Makala, wakiwa na lengo la kuwasaidia wasikilizaji kuielewa dunia.
AudioNow® Digital inaongoza katika kukuletea, apps kwa lugha mbalimbali kupitia simu kwa ajili ya watangazaji wa redio duniani.
Last updated on 2019年03月24日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
RFI Kiswahili
4.2.3 by France Médias Monde
2019年03月24日