下載 APKPure App
可在安卓獲取DARSA ZA DUA的歷史版本
了解如何祈求真主接受的更迅速。
Sasa ni muda wa kutumia kifaa chako cha mkononi kumjua Mwenyezimungu. hii ni Apps iliyoandaliwa kwa lugha ya kiswahili inayokupa fursa ya kupata darsa za dini.
Hapa utajifunza mengi kuhusu dua kama
1.adabu za kuomba dua
2.nyakati za kuomba dua inayojibiwa kwa haraka
3.mbinu za kuomba dua inayojibiwa kwa haraka
4.kwa nini dua za watu wengi hazikubaliwi
5.maneno gani yawepo kwenye dua yako ili ikubaliwe kwa haraka
6.maswali (jaribio)
7.utaweza kuuliza swali moja kwa moja kwa kupiga simu, kutuma sms au email.
na mengineyo mengi.
Last updated on 2018年05月22日
imeboreshwa
DARSA ZA DUA
1.1 by rajabu athuman
2018年05月22日