SWALA YA MAITI


1.0.0 โดย BONGOCLASS
Feb 17, 2025 เวอร์ชั่นเก่า

เกี่ยวกับ SWALA YA MAITI

Jifunze namna ya kumswalia maiti, kumuandaa maiti na kushona sanda ya maiti.

Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza. Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa Elu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.

Katika somo hili pia utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike, kiume na watoto. Pia utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.

Tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti. Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.

ข้อมูล แอป เพิ่มเติม

เวอร์ชันล่าสุด

1.0.0

อัปโหลดโดย

Felipe Zayas

ต้องใช้ Android

Android 5.0+

Available on

รายงาน

ปักธงว่าไม่เหมาะสม

แสดงเพิ่มเติม

SWALA YA MAITI ทางเลือก

ต้องการแอปอื่นจาก BONGOCLASS

ค้นพบ