Tenzi za Rohoni

Mpya tenzi 16

10.0
2.4.6 przez Robert Londo
Feb 1, 2023 Stare wersje

O Tenzi za Rohoni

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.

Aplikacja hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Aplikacja hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa intaneti (offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

CECHY

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Dodatkowe informacje APLIKACJA

Ostatnia Wersja

2.4.6

Przesłane przez

Rosa Cecibel Garcia Lucas

Wymaga Androida

Android 4.1+

Raport

Oznacz jako nieodpowiednie

Pokaż więcej

Use APKPure App

Get Tenzi za Rohoni old version APK for Android

Pobierz

Use APKPure App

Get Tenzi za Rohoni old version APK for Android

Pobierz

Tenzi za Rohoni Alternatywa

Zdobądź wiecej z Robert Londo

Odkryć