We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Over Tenzi za Rohoni Pro

Nyimbo za Tenzi za Rohoni na nyimbo za Dini kwenye Simu yako

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye Simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za Dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za Dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za Dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani Yenu katika Hekima Yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na Tenzi za rohoni; Huku mkimwimbia Mungu kwa Neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 03:16

MOGELIJKHEDEN

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za Tenzi vera intaneti (offline)

★ Pata Tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya Tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye Tenzi Zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya Tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 2.0.4

Last updated on Apr 10, 2020

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Vertaling Laden...

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

Verzoek update van Tenzi za Rohoni Pro 2.0.4

Android vereist

4.0.3

Meer Info

Tenzi za Rohoni Pro Screenshots

Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succesvol ingeschreven!
Je bent nu geabonneerd op APKPure.
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succes!
Je bent nu geabonneerd op onze nieuwsbrief.