SMS na Status za Mahaba


1.0 door Alianda
May 15, 2020 Oude versies

Over SMS na Status za Mahaba

Swahili Status za Mapenzi, Mahaba, Kanga, Grappen, uja uzito, love na kufanikiwa.

Swahili status ni app yenye inakupa fursa ya kutuma Whats status kwa wale ambao unao wapenda ama marafiki wako.

App hii ni ya kukuwezesha ku update status yako ya facebook, twitter, whatsApp,Messenger, WeChat, Instagram, QQ, Tumblr, Qzone, Tik Tok, Sina Weibo, Twitter, Reddit, Baidu Tieba, LinkedIn, Viber, Snapchat , Pinterest, Line, Telegram, Medium, na zininezo. App hii ni ya maana sana kwako na uta furahia sana utunzi wa App hii.

Kwa ufupi, App hii itakusaidia kuzidisha mapenzi, Love, Romance, Uhuba, Upendo, Urafiki n ahata kufanya mpenzi wako akupende sana kuliko zamani.

App hii ina jumbe zifuatayo:

- Status za Mapenzi

- Status za Jokes

- Status za Kuhamasisha

- Status za kuudhi

- Status za kujaliwa mtoto

- Status za uja uzito

- Status za kanga

- Status za rambirambi

- Status za mahaba

- Status za kufanikiwa.

Yaliyomo:

- Status za mahaba;

- Status za upendo;

- Status za mapenzi;

- Status za msichana;

- Status za uhusiano;

- Status za kubembeleza;

- Status za za mapenzi;

- Status za usiku;

- Status za kuudhi;

- Status za usiku mwemwa;

- Status za urafiki;

- Status za umpendae.

Manufaa ya App hii ni kwa wale watu ambao wanataka kutuma ujumbe, SMS ama status kwa wapenzi wako. Tumia App hii kwa:

- Facebook

- Instagram

- WhatsApp

- Twitter

- SMS za kawaida

App hii inaweza tumika wapi?

- App hii ina weza tumika Kenya;

- App hii ina weza tumika Tanzania;

- App hii ina weza tumika Uganda;

- App hii ina weza tumika Burundi;

- App hii ina weza tumika Congo;

- App hii ina weza tumika Uingereza;

- App hii ina weza tumika Afrika nzima, na kadhalika.

Download App hii kwa kupata meseji kali za kusisimua za kimahaba

Utaweza fanya nini na App hii?

- Update status za mahaba ama Love kwa mpenzi wako;

- Share App and Rate.

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 1.0

Last updated on May 28, 2020
-Unsupported language.

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

1.0

Geüpload door

Owis Malek

Android vereist

Android 4.1+

Melden

Rapporteer als ongepast

Meer Info

Use APKPure App

Get SMS na Status za Mahaba old version APK for Android

Downloaden

Use APKPure App

Get SMS na Status za Mahaba old version APK for Android

Downloaden

SMS na Status za Mahaba Alternatief

Krijg meer van Alianda

Ontdekken