Sifa za Mke Mwema,Tabia za MKE Mwema – Qualities of a good Wife - Wife Material.
Sifa za Mke Mwema – Qualities of a good Wife
Wife Material in Swahili and English.
Raha ya mapenzi ukipata mke mwenye maadhili na heshima zake.
Uzuni ukipata mke mwenye pepo mbaya.
Mwanzo:
Mke ni mtu wa maana sana kwa jamii. Wanaume wanapotaka kuoa ama kutafuta jiko, huwa kuna kuwa na matarajio. Bibi ama wife yeye ndiye ana jenga familia, basi App hii itakusaidia kutafuta mchumba, ama msichana ama bibi wa kuowa ili ujenge familia yako.
Katikati:
Mke sio urembo peke yake, mke ni tabia na mambo mengi sana. Uki zingatia maumbile ama urembo, uta jut asana kwasababu ndoa ni ya maisha, sio kitu cha kuchezea.
Yaliomo kwenye App hii: Sifa za mke / Qualities of a wife material.
- Mke ambaye anapenda mungu;
- Mke ambaye anapenda familia;
- Mke ambaye anajua kutumia pesa;
- Mke ambaye anapenda mume wake;
- Mke ambaye anajua kupika chakula kitamu sana;
- Mke ambaye ni msafi;
- Mke ambaye ana rembesha;
- Mke ambaye ana malezi mazuri;
- Mke ambaye ana jua kutunza nyumba;
- Mke ambaye ana busara;
- Mke ambaye ana hekima;
- Mke ambaye ana jishusha;
- Mke ambaye mwenye tabia nzuri nk.
English Version: Qualities of a good wife:
- An excellent cook;
- Good fearing;
- Home maker;
- Not materialistic
- Submissive;
- Uses money wisely;
- Not a NAG;
- Share your beliefs;
- Has ambitions;
- She’s selfless;
- She is attractive;
- She’s responsible and many others.
Watakao tumia App hii:
- Vijana
- Wasichana
- Wanaume
- Wana ndoa
- Pastors
- Wakristo
- Wazazi
Nchii zinazo lengwa:
- Kenya
- Uganda
- Tanzania
- Congo
- Somalia
- USA
- China
- South Africa nk;
Umuhimu wa App hii:
App hii inawa fundisha wachumba jinsi ya kutambua yule mtu ambaye ni wa kukufaa wewe. Mahaba au Mapenzi peke yake haiwezi kukusaidia kwenye mapenzi ni lazima uzigatie yalioma kwenye App hii.
Mwisho:
Manufaa ya App hii kwa ufupi
- Utaweza kuwa mahiri kwa kujua faida ya mapenzi.
- Utaweza kuwa mahiri kwa Kubembeleza mpenzi
- Utaweza kuwa mahiri kwa kufanya mpenzi wako awe na raha ya mapenzi
- Utaweza kudhumisha urafiki na mpenzi wako.
- Uta kuwa mtu mwenye mapenzi ama LOVE.
- Uta heshimika kwa jamii.
Download qualities of a good wife ama sifa za mke na RATE|SHARE|COMMENT.