사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
동의함 더 알아보기

Biashara 정보

Biashara Ndogo ama 비즈니스 아이디어와 커피 잔, 나중에 chini kabisa.

Biashara Ndogo Ndogo ama Business ideas kwa mtu wamapato ya chini kabisa

Je unataka kuanzisha biashara, side hustle ama kufungua bishara yako? Basi App hii ni ya manufaa sana kwako na ina kupa fursa ya kumiliki biashara yako.

Bisahara ni kitu cha umuhimu kwa nchii yeyote ama familia. Biashara ina kuwezesha kupata mapato yako ya kibinafsi n ahata unaweza kuajiri watu wengine ambao wana tafuta kazi.

Umuhimu wa App Hii:

- Itakuwezesha kuanzisha biashara;

- Itakuwezesha kuongeza mapato;

- Itakuwezesha kuajiri watu wengine ama ajira kwa wengine;

- Itakuwezesha kuishi maisha mema;

- Itakuwezesha kuwa tajiri;

- Itakuwezesha kufukuza uma sikini;

- Itakuwezesha kuwa mbunifu.

- Itakuwezesha kuwa na pesa nyingi kwa benki.

- Itakuwezesha kufungua kiwanda chako usoni.

- Itakuwezesha kupata pesa nyingi kama safaricom.

- Itakuwezesha kujitegemea.

Biashara tofauti tofauti kama vile:

- Bisahara ya Kuuza Mahindi

- Bisahara ya Kuosha Magari

- Bisahara ya Kuuza mayai

- Bisahara ya Mpesa

- Bisahara ya Kuuza Mitumba

- Bisahara ya Kungarisha Viatu

- Bisahara ya Kadi za Simu

- Bisahara ya Kuuza Njugu

- Bisahara ya Kuuza Chai ama Uji

- Bisahara za Sokoni

- Bisahara ya Kinyozi

- Bisahara ya Boda Boda

- Bisahara ya Kufuga Kuku

- Bisahara ya Kuuza Ndizi

- Bisahara ya Kuchapisha Nakala

- Bisahara ya Kuuza Nyanya

- Bisahara ya Kuuza Vitungu

- Bisahara ya Upodozi

- Bisahara ya Stationary

- Bisahara ya Magodoro

- Bisahara ya Bakery

- Bisahara ya Kilimo

- Bisahara ya Kuuza Mikoba

- Bisahara ya Kuuza Chakula

- Bisahara ya Kutengeneza Sabuni

- Bisahara ya Movie Shop

- Bisahara ya Kushona Nguo

- Bisahara ya Butchery, n.k.

Watumizi wa App Hii:

- Wafanyi biashara

- Wanafunzi

- Hustlers

- Watu wenye hawana kazi

- Wavumbuzi

- Watu ambao wanataka kuwekeza, n.k.

Nchi za kufungua biashara:

- Fungua Biashara Tanzania

- Fungua Biashara Kenya

- Fungua Biashara Congo

- Fungua Biashara Burundi

- Fungua Biashara Rwanda

- Fungua Biashara Sudan

- Fungua Biashara Nigeria

- Fungua Biashara Uganda

- Fungua Biashara South Africa, n.k.

Mwisho:

Download App hii ili upate kujua bisness idea ama lucrative business ideas ambazo zita kuwezesha kufungua biashara yako. Bishara ndogo ndogo hujaza kibaba, siku moja uta pata ya kwamba biashara yako ama business yako ina fanikiwa na una pata pesa za kupanua biashara yako ili uweze kuwa mtu wa maana sana nchini.

Share App hii na wenzako.

최신 버전 1.0의 새로운 기능

Last updated on Sep 17, 2019

Biashara ndogo ndogo za siku hizi.

번역 로드 중...

추가 앱 정보

최신 버전

Biashara 업데이트 요청 1.0

업로드한 사람

Shwe Ye Shwe

필요한 Android 버전

Android 4.1+

더 보기

Biashara 스크린 샷

언어
APKPure를 구독하십시오
최고의 Android 게임 및 앱의 초기 릴리스, 뉴스 및 가이드에 액세스하는 첫 번째 사람이 되십시오.
고맙지 만 사양 할게
가입하기
성공적으로 구독!
당신은 이제 APKPure에 가입되었습니다.
APKPure를 구독하십시오
최고의 Android 게임 및 앱의 초기 릴리스, 뉴스 및 가이드에 액세스하는 첫 번째 사람이 되십시오.
고맙지 만 사양 할게
가입하기
성공!
당신은 이제 우리의 뉴스 레터를 구독하고 있습니다.