Muislamu Blog


1.0.4 by SwahiliTech.net
2020年01月02日 旧バージョン

Muislamu Blogについて

Manhaj Ya Qur-aan Na Sunnah kwa ufahamu wa salaf wa Ummah

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

Ndugu, Waislamu,

Assalam Alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh

Kwanza kabisa hatuna budi kumshukuru Allah (Subhanahu wata'ala) kwa neema Zake zote alizoturuzuku na kutujaalia kuwa miongoni mwa walioikubali haki na kuifuata. Pia tunamtakia Rehma na Amani Mtume wetu Muhammad (rehema na amani za Allah zimshukie) kipenzi chetu Al- Mustafa aliyeteuliwa kuwa Mjumbe, Muonyaji na Mtoa bishara na Rehma kwa viumbe vyote ulimwenguni. Yeye ametumwa na muongozo wa Kitabu cha Quran na mafundisho ya Sunna zake. Na kwa hakika bila ya muongozo huu tungekuwamo katika kiza totoro na maangamio makubwa.

Madhumuni yetu makubwa ni kuhabarisha (news) na kukumbusha (mawaidha,nasiha, maswali na majibu n.k) kuhusu mfumo wa Kiislamu.

sisi tunaosimamia mtandao huu tunakusudia kujadili na kuchambua fikra, qadhia na matokeo mbali mbali ya uchumi, jamii nk. Na kuyatolea ufafanuzi kwa mujibu wa mfumo wetu mtukufu wa Kiislamu.

Kwa hivyo, tunapenda kuwakaribisha na kuwaalika Waislamu wote katika mtandao huu ili kushirikiana nasi kwa kutoa michango yao ya fikra na maoni katika kujadili, kusoma na kuusambaza mtandao huu kwa kila wanaemjua ili kuasisi majadiliano kwa nia safi kwa lengo la kukuza ufahamu wa Waislamu.

Tunamuomba Allaah atupe tawfiq katika kazi yake hii na atuzidishie ufahamu na upambanuzi wa haki katika kuelezea na kufikisha ujumbe wake huu kwa Waumini wote Inshaallah.

TANBIH

Toviti hii haihusiani na Taasisi yeyote wala kundi/Dhehebu lolote tovuti hii inaendeshwa kwa muongozo wa Quran & sunnah utakapoona sehemu yeyote yenye shida usisite kuwasiliana nasi kupitia email yetu muislamublog@gmail.com

Allaah ndie Muweza wa yote na Kwake ndio mategemeo yetu.

Wasalaam.

Ndugu zenu katika Iymaan na Tawhiyd

最新バージョン 1.0.4 の更新情報

Last updated on 2020年01月13日
Bugs fixed
Interface
Maboresho ya kimuonekano
Maboresho ya ndani kwa ndani

アプリの追加情報

最終のバージョン

1.0.4

投稿者

Wanchana Phoma

Android 要件

Android 5.0+

報告

不適切な内容としてフラグ

もっと見る

APKPure Appを使用する

Muislamu Blogの旧いバージョンをダウンロードすることが可能

ダウンロード

APKPure Appを使用する

Muislamu Blogの旧いバージョンをダウンロードすることが可能

ダウンロード

Muislamu Blogの類似アプリ

SwahiliTech.net からもっと手に入れる

発見