We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

このHerufiについて

Rudi shule na Akili!Tumia app yake BURE kujifunza HERUFI kwa Kiswahili fasaha!

Sasa shule zimeanza rasmi。Je, wayajua maendeleo ya mwanao?Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

アプリ「Herufi na Akili」 itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania 円ye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!

「Herufi na Akili」 inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE。App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me."

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

ファイダ

- Atambue sauti za herufi。

- Afananishe herufi。

- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe。

- Acheze kwa uhuru。

- アペンデクジフンザ。

VILIVYOMO

- 「じふんぜzaidi ya maneno 80 mapya」。

- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto。

- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.

- Haina maksi wala daraja、hivyo mtoto atajifunza bila hofu。

- Ni BURE kabisa。ハクナガラマゾート。

- Inafanya kazi BILA MTANDAO。

Ubunifu wa "Herufi na Akili" ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

ワンゴジャニニ?イパクエささブレ!

KIINGEREZA - アキリのアルファベット

Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili.Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza。

「Akili's Alphabet」 itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha 「Akili and Me」。Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU「AKILI AND ME」

「Akili and Me」にカトゥーニ・ムルア・ヤ・エリム・ナ・ブルダニ・イナヨアンダリワ・ナ・ウボンゴ、watengenezaji wa 「Ubongo Kids」na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.

Karibu Lala Land、ulimwengu wa maajabu、ambapo utajifunza na kucheza na Akili!印波なんば!Cheza Herufi!Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi na Little Lion、Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1(タンザニア)、na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV(ケニア)。

クフス・ウボンゴ

Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na bruudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redonio, simuwa, walipofanda vya m

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika、tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao、wakitumia teknolojia walizo nazo。Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.

オンジーナシ

Kama una maswali、maoni、ushauri ama unahitaji msaada wowote、tafadhali zungumza nasi kupitia [email protected]。Twafurahi sana unapotupa maoni yako。

最新バージョン 1.0.0 の更新情報

Last updated on 2021年11月03日

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

翻訳中...

ゲームの追加情報

最終のバージョン

Herufi 更新を申請する 1.0.0

投稿者

Fredi Ocampos

Android 要件

Android 4.4+

Available on

Herufi をPlayストアでダウンロード

もっと見る

Herufi スクリーンショット

言語
APKPureをを購読する
最高のAndroidゲームアプリの最新リリースやニュースやガイドなどの情報にいち早くアクセスすることができます。
いいえ結構です
購読
購読完了!
APKPureの購読が完了しました。
APKPureをを購読する
最高のAndroidゲームアプリの最新リリースやニュースやガイドなどの情報にいち早くアクセスすることができます。
いいえ結構です
購読
成功!
ニュースレターを購読しました。