APKPure Appを使用する
Agribusiness Skillsの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
Msaadaクワmkulima utajifunza kuhusu kilimo-biasharaナMasoko NJE屋タンザニア。
Karibu!
Agribusiness skills ni App iliyotengenezwa na wanafunzi wa SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE ikiwa na malengo ya kumsaidia mkulima katika ushauri wa kilimo cha kisasa chenye tija kwa maendeleo ya Taifa.
PIA
Ni sehemu pekee ambayo utapata nafasi ya kujifunza mada mbalimbali zinazohusiana na kilimo-biashara pamoja na ujasiliamali, sambamba na kupata elimu ya masoko nje na ndani ya Nchi.
Kama ulishawahi kupata shida katika kilimo sasa jibu ni hii application Pakua upate Ujuzi.
Ahsante.
Last updated on 2018年06月07日
Free access if your using Vodacom.
Faster loading and user interaction is enhanced.
Agribusiness Skills
1.4 by Kilimo Smart Inc.
2018年06月07日