از برنامه APKPure استفاده کنید
نسخه قدیمی APK Nyimbo Za Kristo را برای اندروید بگیرید
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PR.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote، Nyimbo za kuburudisha، kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
سیفا زا برنامه نی کما زیفوتازو:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
ننو اونالوکومبوکا لیوه جینا لا ویمبو کوا کیسواحیلی
یالیو ندانی یا ویمبو.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (با تشکر از hymnserve.com برای
همراهی ها).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• ایناکووزشا کوکوزا اوکوبوا و مندیشی و ماننو یا ویمبو کادری اوناویونا
انفاا
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• ایناکووزشا کوشیریکی ماننو یا ویمبو نا ندوگو جاما نا مارافیکی کوا اورهیسی.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Last updated on 06/03/2025
Imetatua program kujifunga kwa baadhi ya simu.
بارگذاری شده توسط
Mhummad Asif Asif
نیاز به اندروید
Android 5.0+
دسته بندی
گزارش
Nyimbo Za Kristo
2 . 3 . 7 by Awesomecode Tanzania
06/03/2025