Mazoezini ni app inayokupa muongozo wa kufanya mazoezi mepesi.
Mazoezini app inalenga katika kukupa muongozo wa namna ya kufanya mazoezi ya viungo. App hii ina aina mbalimbali za mazoezi utakayotakiwa kufanya kwa kufuata maelekezo yaliyotolewa kitaalamu. Katika kila aina ya zoezi utatakiwa kumaliza kwa muda husika ili uweze kuendelea na zoezi lingine.دربارهی Mazoezini
اطلاعات تکمیلی برنامه
بارگذاری شده توسط
حكيم رفعت
نیاز به اندروید
Android 4.4+
دسته بندی
نمایش بیشتر