Nyimbo Za Kristo


2 . 4 . 2 por Awesomecode Tanzania
01/06/2025 Versiones antiguas

Sobre Nyimbo Za Kristo

Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).

Programa hii imeandaliwa kukuwezesha kumuamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.

Programa Sifa za ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa

neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno

yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata

kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (gracias a hymnserve.com por

los acompañamientos).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona

inafaa.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya

Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Novedades de Última Versión 2 . 4 . 2

Last updated on 03/09/2025
Imeongeza Nyimbo za Kristo Kitabu kikubwa (Tumia menu juu kushoto).

Información Adicional de Aplicación

Última Versión

2 . 4 . 2

Presentado por

Adit's Tynsah

Requisitos

Android 5.0+

Disponible en

Reportar

Marcar como inapropiado

Mostrar más

Usar la aplicación APKPure

Obtener Nyimbo Za Kristo versión histórica en Android

Descargar

Usar la aplicación APKPure

Obtener Nyimbo Za Kristo versión histórica en Android

Descargar

Alternativa de Nyimbo Za Kristo

Obtenga más de Awesomecode Tanzania

Descubrir