下载 APKPure App
可在安卓获取Tenzi Za Rohoni的历史版本
Tenzi za rohoni app inakuletea nyimbo za tenzi 138 popote ulipo na wakati wowote
App hii ina nyimbo za kumsifu Mungu 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni.unaweza kuzifurahia nyimbo hizi za injili bila kuwa na intaneti yaani "Offline".
Yaliyomo:
★ Tenzi za Rohoni ina nyimbo za tenzi 138 za kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★Mpangilio kabambe kurahisisha utafiti wa tenzi.
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi
★ Tenzi za rohoni ina nyimbo kama:-hunificha,nina haja nawe,habari njema,cha kutumaini sina,mwamba wenye imara,kuoshwa kwa damu.
Last updated on 2018年11月22日
kutolewa vidokezo vilivyokuwa vikitatisha utumizi wa app..
Tenzi Za Rohoni
2.0 by Romain Joseph
2018年11月22日