Use APKPure App
Get Simba SC old version APK for Android
Simbs SC nguvu moja
Simba Sports Club ni timu ya mpira wa miguu yenye makao makuu jijini Dar essalaa. Michezo yake ya Nyumbani huwa inachezwa kwenye uwanja wa Uhuru au Uwanja waTaifa. Simba ni kati ya timu mbili kubwa zenye mashabiki wengi Nchini Tanzania.
Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936, Kabla ya kujulikana kama Simba Sports Club iliwahi kuitwa Queens, Eagles na baadaye Sunderland, mwaka 1971 Simba Sports Club ilibadilisha jina na kuitwa Simba Sports Club.
Katika mashindano ya kimataifa, Simba SC ndio timu pekee nchini Tanzania iliyowahi kufika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 baada ya kupoteza mechi dhidi ya Stella Abijanya Ivory Coast.
Pia Simba SC imekuwa na matokeo mazuri katika mashindano makubwa ikiwemo kuitoa mashindanoni Zamalek ya Misri ambao walikuwa mabingwa wa CAF 2003 na kuingia kwenye makundi ya mashindano hayo. Kabla ya kuitoa Santos ya Afrika ya Kusini.
Simba SC huvaa jezi nyekundu au nyeupe.
Last updated on Dec 3, 2017
1. Malipo sasa ni kulingana na siku uliyolipia, mfano kama umelipia 26/11/2017 utalipia tena 25/12/2017
2. Matangazo Mubashara (LIVESTREAMING) kutoka katika mechi na matukio mbalimbali yanayohusu timu ya Simba SC
3. Malipo ya mwezi yameboreshwa, sasa unalipia mara moja tu na kupata mambo yote ie Picha mbalimbali, Sauti ya Simba, Simba Exclusive n.k
4. Maboresho mbalimbali mfano ya waliolipia bila kupata huduma na kadhalika
আপলোড
Mayank Tiwari
Android প্রয়োজন
Android 4.0+
রিপোর্ট করুন
Simba SC Official
1.23 by EAG Group
Dec 3, 2017