আপনি বাড়ির স্বাস্থ্যসেবা এবং স্বাস্থ্যকর জীবনযাপনের সংস্থার বইগুলি পাবেন
App hii utapata kuona vitabu vya aina mbalimbali na kuweza kuagiza na kuletewa pale unapopatikana.
vitabu hivyo ni katika nyanja mbalimbalia mfano;
>vya kiroho
>afya
>malezi ya watoto
>watoto
>unabii
>familia na mahusiano
>saikolojia
na vitabu vingine vingi ambavyo vitamfanya mtu kuelewa na mupata maarifa mengi , zaidi vitabu hivi vimeleta majibu kwa wengi na hii ni pamoja na vitabu vya afya ambavyo kupitia hivyo kwa msaada wa Mungu wengi wamepona maradhi ambayo yalionekana kuwa hayawezekani kupona , pia unaweza msaidia mwingine.