Use APKPure App
Get Global App old version APK for Android
كوا وا كوانزا كوباتا حباري زوتي كالي
GLOBAL PUBLISHERS، Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP، imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo، Watu Maarufu، Viongozi، zikiwemo Habari za Magazeti ya سيمو ياكو يا كيغانجاني. Ndani ya App hii kuna Global TV Online ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu، Mastaa wa Bongo، Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.
AIDHA ، utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na Text. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva، Habari zote za Michezo na Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL APP. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi، sa 7:00 mchana، saa 2:00 usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz، Ali Kiba، Wema Sepetu، Zari The Bosslady، Aunt Ezekiel، Hamisa Mobeto، Lulu MIchael، Tunda، Giggy Money، Malaika،
قم بتنزيل التطبيق العالمي SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!
Last updated on 28/06/2023
Bug Fixes
Payment Issues Resolved
محمل
Jesus Antonio
Android متطلبات النظام
Android 6.0+
الإبلاغ
Global App
5.2.18 by Global Publishers
28/06/2023