下載 APKPure App
可在安卓獲取JamiiForums的歷史版本
我們敢於公開談論的地方
Ukiwa na App ya JamiiForums unaweza kutumia mtandao wa JamiiForums.com kwa urahisi zaidi katika kifaa chako(Simu au Tablet)。
- Utaweza kuwasiliana na wadau kwa faragha(PM)
- Utaweza kusoma kwa urahisi zaidi mijadala mipya
- Utaweza kusoma mijadala yote kwa urahisi na hata kuchangia kwa haraka
- Utaweza ku-LIKE maoni ya wadau
- Utaweza kupakia(上傳)picha,sauti,video n.k kwa urahisi na mengine mengi
Last updated on 2024年04月03日
Kasoro kadhaa zilizoripotiwa zimerekebishwa. Asante kwa ushirikiano katika kuendelea kuboresha huduma hii.