Usar la aplicación APKPure
Obtener Mauzo versión histórica en Android
Esta aplicación se utiliza para gestionar la pequeña empresa.
Mauzo app de aplicación ni inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua Kama Biashara Yako inatengeneza Faida.
Hutumika katiika Biashara Ndogo na za Kati zinazojiusisha na na kununua bidhaa kuuza, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa Huduma
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika sin conexión). Intaneti inatumika Wakati wa wa kujisajili na Wakati kufanya de copia de seguridad.
Taarifa (datos) zako zinatunzwa kwenye simu Yako ma. Hakuna MTU anaweza kuziona Zaidi Yako wewe.
Last updated on 03/05/2021
Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
Presentado por
Kwee Chaw
Requisitos
Android 4.4+
Categoría
Reportar
Mauzo
1.5.2 by diioTZ Labs
03/05/2021